Eze. 43:21 SUV

21 Tena utamtwaa ng’ombe wa sadaka ya dhambi, naye utamteketeza mahali palipoamriwa pa nyumba ile, nje ya mahali patakatifu.

Kusoma sura kamili Eze. 43

Mtazamo Eze. 43:21 katika mazingira