Eze. 43:22 SUV

22 Na siku ya pili utamtoa beberu mkamilifu awe sadaka ya dhambi; nao wataisafisha madhabahu, kama walivyoisafisha kwa ng’ombe huyo.

Kusoma sura kamili Eze. 43

Mtazamo Eze. 43:22 katika mazingira