Eze. 44:11 SUV

11 Hata hivyo watakuwa wahudumu katika patakatifu pangu, wakiwa wasimamizi wa malango ya nyumba, wakihudumu humo nyumbani; watawachinjia watu sadaka za kuteketezwa na dhabihu, nao watasimama mbele yao ili kuwahudumia.

Kusoma sura kamili Eze. 44

Mtazamo Eze. 44:11 katika mazingira