Eze. 44:12 SUV

12 Kwa sababu waliwahudumia mbele ya vinyago vyao, wakawa kwazo la uovu kwa nyumba ya Israeli; basi nimeuinua mkono wangu juu yao, asema Bwana MUNGU, nao watachukua uovu wao.

Kusoma sura kamili Eze. 44

Mtazamo Eze. 44:12 katika mazingira