Eze. 44:13 SUV

13 Wala hawatanikaribia, kunihudumia katika kazi ya ukuhani, wala hawatakaribia vitu vyangu vitakatifu kimojawapo, vitu vilivyo vitakatifu sana; bali watachukua aibu yao, na machukizo yao yote waliyoyatenda.

Kusoma sura kamili Eze. 44

Mtazamo Eze. 44:13 katika mazingira