Eze. 44:17 SUV

17 Itakuwa, hapo watakapoingia kwa malango ya ua wa ndani, watavikwa mavazi ya kitani; wala sufu haitakuwa juu yao, maadamu wanahudumu katika malango ya ua wa ndani, na ndani ya nyumba.

Kusoma sura kamili Eze. 44

Mtazamo Eze. 44:17 katika mazingira