Eze. 44:18 SUV

18 Watakuwa na vilemba vya kitani juu ya vichwa vyao, nao watakuwa na suruali za kitani viunoni mwao; hawatajifunga kiunoni kitu cho chote kifanyacho jasho.

Kusoma sura kamili Eze. 44

Mtazamo Eze. 44:18 katika mazingira