Eze. 45:11 SUV

11 Efa na bathi zitakuwa za kipimo kimoja; ili kwamba bathi ichukue sehemu ya kumi ya homeri, na efa sehemu ya kumi ya homeri; kipimo chake kitakuwa kwa kadiri ya cheo cha kawaida cha homeri.

Kusoma sura kamili Eze. 45

Mtazamo Eze. 45:11 katika mazingira