Eze. 45:12 SUV

12 Nayo shekeli itakuwa gera ishirini; shekeli tano zitakuwa shekeli tano, shekeli kumi zitakuwa kumi, na shekeli hamsini zitakuwa mane yenu.

Kusoma sura kamili Eze. 45

Mtazamo Eze. 45:12 katika mazingira