Eze. 45:22 SUV

22 Na siku hiyo mkuu atatengeneza ng’ombe kuwa sadaka ya dhambi, kwa ajili ya nafsi yake, na kwa ajili ya watu wote wa nchi.

Kusoma sura kamili Eze. 45

Mtazamo Eze. 45:22 katika mazingira