Eze. 46:16 SUV

16 Bwana MUNGU asema hivi; Mkuu akimpa mwanawe awaye yote zawadi, ni urithi wake, itakuwa mali ya wanawe; ni milki yao kwa kurithiwa.

Kusoma sura kamili Eze. 46

Mtazamo Eze. 46:16 katika mazingira