Eze. 46:17 SUV

17 Bali akimpa mmoja wa watumishi wake baadhi ya urithi wake, itakuwa mali yake mpaka mwaka wa kuacha huru; ndipo itakapomrudia mkuu; lakini urithi wake, huo utakuwa wa wanawe.

Kusoma sura kamili Eze. 46

Mtazamo Eze. 46:17 katika mazingira