Eze. 46:18 SUV

18 Tena mkuu hatawaondolea watu urithi wao, hata kuwatoa kwa nguvu katika milki yao; atawapa wanawe urithi katika mali yake mwenyewe, watu wangu wasije wakatawanyika, kila mtu mbali na milki yake.

Kusoma sura kamili Eze. 46

Mtazamo Eze. 46:18 katika mazingira