Eze. 46:19 SUV

19 Ndipo akanileta kati ya maingilio, yaliyokuwa kando ya lango, mpaka vyumba vitakatifu vya makuhani, vilivyoelekea upande wa kaskazini; na tazama, palikuwa na mahali, upande wa nyuma ulioelekea magharibi.

Kusoma sura kamili Eze. 46

Mtazamo Eze. 46:19 katika mazingira