Eze. 46:20 SUV

20 Akaniambia, Hapa ndipo mahali pa makuhani, watakapoitokosa sadaka ya hatia, na sadaka ya dhambi, watakapoioka sadaka ya unga; kusudi wasizilete nje katika ua wa nje, na kuwatakasa watu.

Kusoma sura kamili Eze. 46

Mtazamo Eze. 46:20 katika mazingira