Eze. 46:21 SUV

21 Kisha akanileta mpaka ua wa nje, akanipitisha karibu na pembe nne za ua huo; na tazama, katika kila pembe ya ua huo palikuwa na kiwanja.

Kusoma sura kamili Eze. 46

Mtazamo Eze. 46:21 katika mazingira