Eze. 46:22 SUV

22 Katika pembe nne za ua huo palikuwa na viwanja vilivyoungana, urefu wake dhiraa arobaini, na upana wake thelathini; viwanja hivyo vinne vya pembeni vilikuwa vya kipimo kimoja.

Kusoma sura kamili Eze. 46

Mtazamo Eze. 46:22 katika mazingira