Eze. 5:17 SUV

17 Nami nitapeleka juu yenu njaa na wanyama wabaya, nao watakunyang’anya watu wako; na tauni na damu zitapita ndani yako; nami nitauleta upanga juu yako; mimi BWANA, nimeyanena hayo.

Kusoma sura kamili Eze. 5

Mtazamo Eze. 5:17 katika mazingira