Eze. 5:16 SUV

16 hapo nitakapopeleka mishale mibaya ya njaa juu yao, iletayo uharibifu, nitakayoipeleka ili kuwaharibu ninyi; nami nitaiongeza njaa juu yenu, na tegemeo lenu la mkate nitalivunja.

Kusoma sura kamili Eze. 5

Mtazamo Eze. 5:16 katika mazingira