Eze. 7:27 SUV

27 Mfalme ataomboleza, na mkuu atavikwa ukiwa, na mikono ya watu wa nchi itataabika; nitawatenda sawasawa na njia yao; nami nitawahukumu sawasawa na kustahili kwao; nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 7

Mtazamo Eze. 7:27 katika mazingira