Eze. 8:1 SUV

1 Ikawa katika mwaka wa sita, mwezi wa sita, siku ya tano ya mwezi, nilipokuwa nikikaa nyumbani mwangu, wazee wa Yuda nao wali wamekaa mbele yangu, mkono wa Bwana MUNGU ukaniangukia huko.

Kusoma sura kamili Eze. 8

Mtazamo Eze. 8:1 katika mazingira