Ezr. 1:8 SUV

8 Naam, vyombo vile ndivyo alivyovitoa Koreshi, mfalme wa Uajemi, kwa mkono wa Mithredathi, mtunza hazina; naye akavihesabu mbele ya Sheshbaza, mkuu wa Yuda.

Kusoma sura kamili Ezr. 1

Mtazamo Ezr. 1:8 katika mazingira