7 Tena Koreshi, mfalme, alivitoa vyombo vya nyumba ya BWANA, alivyokuwa amevileta Nebukadreza toka Yerusalemu, na kuvitia katika nyumba ya miungu yake.
Kusoma sura kamili Ezr. 1
Mtazamo Ezr. 1:7 katika mazingira