Ezr. 1:6 SUV

6 Na watu wote waliokaa karibu nao pande zote wakawatia nguvu mikono yao, kwa vyombo vya fedha, kwa dhahabu, kwa mali, na kwa wanyama, na vitu vya thamani, zaidi ya vile vilivyotolewa kwa hiari ya mtu.

Kusoma sura kamili Ezr. 1

Mtazamo Ezr. 1:6 katika mazingira