Ezr. 10:5 SUV

5 Ndipo Ezra akaondoka, akawaapisha wakuu wa makuhani, na Walawi, na Israeli wote, ya kwamba watafanya kama hayo. Basi wakaapa.

Kusoma sura kamili Ezr. 10

Mtazamo Ezr. 10:5 katika mazingira