Ezr. 10:6 SUV

6 Kisha Ezra akaondoka hapo mbele ya nyumba ya Mungu, akaingia katika chumba cha Yehohanani, mwana wa Eliashibu; hata, alipofika huko, hakula mkate, wala hakunywa maji; kwa maana alilia kwa sababu ya kosa lile la watu wa uhamisho.

Kusoma sura kamili Ezr. 10

Mtazamo Ezr. 10:6 katika mazingira