Ezr. 2:69 SUV

69 wakatoa kadiri walivyoweza, na kutia katika hazina ya kazi hiyo, darkoni za dhahabu sitini na moja elfu, na mane za fedha elfu tano, na mavazi mia ya makuhani.

Kusoma sura kamili Ezr. 2

Mtazamo Ezr. 2:69 katika mazingira