Ezr. 3:6 SUV

6 Tangu siku ya kwanza ya mwezi wa saba walianza kumtolea BWANA sadaka za kuteketezwa, lakini msingi wa hekalu la BWANA ulikuwa haujawekwa bado.

Kusoma sura kamili Ezr. 3

Mtazamo Ezr. 3:6 katika mazingira