Ezr. 6:11 SUV

11 Pia nimetoa amri kwamba, mtu awaye yote atakayelibadili neno hili, boriti na itolewe katika nyumba yake, akainuliwe na kutungikwa juu yake; tena nyumba yake ikafanywe jaa kwa ajili ya neno hili.

Kusoma sura kamili Ezr. 6

Mtazamo Ezr. 6:11 katika mazingira