Ezr. 8:15 SUV

15 Nikawakusanya penye mto ushukao kwenda Ahava; na huko tukapiga kambi yetu muda wa siku tatu; nikawakagua watu, na makuhani, wala sikuona hapo wana wa Lawi hata mmoja.

Kusoma sura kamili Ezr. 8

Mtazamo Ezr. 8:15 katika mazingira