Ezr. 8:18 SUV

18 Na kama mkono mwema wa Mungu wetu ulivyokuwa pamoja nasi, wakamletea Ishekeli, mmoja wa wana wa Mali, mwana wa Lawi, mwana wa Israeli; na Sherebia, pamoja na wanawe na ndugu zake, watu kumi na wanane;

Kusoma sura kamili Ezr. 8

Mtazamo Ezr. 8:18 katika mazingira