Ezr. 8:17 SUV

17 Nikawapeleka kwa Ido, mkuu, huko Kasifia; nikawaambia watakayomwambia Ido, na ndugu zake hao Wanethini, huko Kasifia, kwamba watuletee watu watakaohudumu katika nyumba ya Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Ezr. 8

Mtazamo Ezr. 8:17 katika mazingira