Ezr. 8:20 SUV

20 na katika Wanethini, ambao Daudi, na wakuu, walikuwa wamewaweka kwa ajili ya utumishi wa Walawi, Wanethini mia mbili na ishirini; wote wametajwa kwa majina yao.

Kusoma sura kamili Ezr. 8

Mtazamo Ezr. 8:20 katika mazingira