Ezr. 8:21 SUV

21 Ndipo nikaamuru kufunga, hapo penye mto Ahava, ili tupate kujinyenyekeza mbele za Mungu, na kutafuta kwake njia iliyonyoka, kwa ajili yetu sisi wenyewe, na kwa ajili ya watoto wetu, na kwa mali yetu yote.

Kusoma sura kamili Ezr. 8

Mtazamo Ezr. 8:21 katika mazingira