Ezr. 8:30 SUV

30 Hivyo makuhani na Walawi wakaupokea uzani wa fedha, na dhahabu, na vyombo, ili kuvileta Yerusalemu nyumbani kwa Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Ezr. 8

Mtazamo Ezr. 8:30 katika mazingira