Ezr. 8:31 SUV

31 Ndipo tukasafiri toka mtoni Ahava siku ya kumi na mbili ya mwezi wa kwanza, ili kwenda Yerusalemu; na mkono wa Mungu ulikuwa pamoja nasi, akatuokoa na mkono wa adui, na mtu mwenye kutuvizia njiani.

Kusoma sura kamili Ezr. 8

Mtazamo Ezr. 8:31 katika mazingira