Ezr. 9:3 SUV

3 Nami niliposikia hayo, nikararua nguo yangu na joho yangu, nikang’oa nywele za kichwa changu, na ndevu zangu, nikaketi kwa mshangao.

Kusoma sura kamili Ezr. 9

Mtazamo Ezr. 9:3 katika mazingira