Ezr. 9:4 SUV

4 Ndipo wakanikusanyikia watu wote walioyatetemekea maneno ya Mungu wa Israeli, kwa sababu ya lile kosa la watu wa uhamisho; nami nikaketi kwa mshangao hata wakati wa sadaka ya jioni.

Kusoma sura kamili Ezr. 9

Mtazamo Ezr. 9:4 katika mazingira