Ezr. 9:5 SUV

5 Na wakati wa sadaka ya jioni nikainuka baada ya kunyenyekea kwangu, nguo yangu na joho yangu zimeraruliwa, nikaanguka magotini nikakunjua mikono yangu mbele za BWANA, Mungu wangu;

Kusoma sura kamili Ezr. 9

Mtazamo Ezr. 9:5 katika mazingira