Hab. 1:16 SUV

16 Kwa sababu hiyo huutolea wavu wake sadaka, na kulifukizia uvumba juya lake; kwa sababu kwa vitu vile fungu lake limenona, na chakula chake kimekuwa tele.

Kusoma sura kamili Hab. 1

Mtazamo Hab. 1:16 katika mazingira