Hab. 1:6 SUV

6 Kwa maana, angalieni, nawaondokesha Wakaldayo, taifa lile kali, lenye haraka kupita kiasi; wapitao katikati ya dunia, ili wayamiliki makao yasiyo yao.

Kusoma sura kamili Hab. 1

Mtazamo Hab. 1:6 katika mazingira