Hab. 1:8 SUV

8 Farasi zao ni wepesi kuliko chui, ni wakali kuliko mbwa-mwitu wa jioni; na wapanda farasi wao hujitapa naam, wapanda farasi wao watoka mbali sana; huruka kama tai afanyaye haraka ale.

Kusoma sura kamili Hab. 1

Mtazamo Hab. 1:8 katika mazingira