Hab. 2:16 SUV

16 Umejaa aibu badala ya utukufu; unywe nawe, uwe kama mtu asiyetahiriwa; kikombe cha mkono wa kuume wa BWANA kitageuzwa ukipokee, na aibu kuu itakuwa juu ya utukufu wako.

Kusoma sura kamili Hab. 2

Mtazamo Hab. 2:16 katika mazingira