Hab. 2:6 SUV

6 Je! Hawa wote hawatapiga mfano juu yake, na mithali ya kusimanga juu yake, wakisema, Ole wake yeye aongezaye kisicho mali yake! Hata lini? Na ole wake yeye ajitwikaye mzigo wa rehani!

Kusoma sura kamili Hab. 2

Mtazamo Hab. 2:6 katika mazingira