Hab. 2:8 SUV

8 Kwa sababu umeteka nyara mataifa mengi, mabaki yote ya kabila watakuteka wewe; kwa sababu ya damu ya watu, na kwa sababu ya udhalimu iliotendwa nchi hii, na mji huu, na watu wote wanaokaa ndani yake.

Kusoma sura kamili Hab. 2

Mtazamo Hab. 2:8 katika mazingira