Hab. 3:13 SUV

13 Ukatokea kwa ajili ya wokovu wa watu wako,Kwa ajili ya wokovu wa masihi wako;Ukakiponda kichwa cha nyumba ya waovu,Ukiuweka wazi msingi hata mwambani.

Kusoma sura kamili Hab. 3

Mtazamo Hab. 3:13 katika mazingira