Hab. 3:2 SUV

2 Ee BWANA, nimesikia habari zako, nami naogopa;Ee BWANA, fufua kazi yako katikati ya miaka;Katikati ya miaka tangaza habari yake;Katika ghadhabu kumbuka rehema.

Kusoma sura kamili Hab. 3

Mtazamo Hab. 3:2 katika mazingira