Hab. 3:8 SUV

8 Je! BWANA aliikasirikia mito?Je! Hasira yako ilikuwa juu ya mito,Au ghadhabu yako juu ya bahari,Hata ukapanda farasi zako,Katika magari yako ya wokovu?

Kusoma sura kamili Hab. 3

Mtazamo Hab. 3:8 katika mazingira