Hes. 1:32 SUV

32 Katika wana wa Yusufu, maana katika wana wa Efraimu, vizazi vyao kwa kuandama jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, tangu umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani,

Kusoma sura kamili Hes. 1

Mtazamo Hes. 1:32 katika mazingira