44 Hao ndio waliohesabiwa, ambao Musa na Haruni na wale wakuu wa Israeli watu kumi na wawili waliwahesabu; walikuwa kila mmoja kwa ajili ya nyumba ya baba zake.
Kusoma sura kamili Hes. 1
Mtazamo Hes. 1:44 katika mazingira